1. hujikubali jinsi alivyo na sio kujikubadilisha au kujilinganisha na mwingine.
2. hujiwekea malengo na kufanya bidii ya kuyatimiza.
3. hujifunza kutokana na makosa na kutoka kwa watu wengine.
4. hupenda kuweka mwili, mavazi na malazi yake katika hali ya usafi.
5. hujiepusha na vitendo viovu.
vitendo viovu ni vile vinavyohatarisha maisha na ustawi wa afya yake.