mbinu za kuwa mvumilivu


mara nyingi watu tunakabiliwa na mambo lukuki kutokana na maisha tunayopitia. mambo yanapokuwa mengi hata mwenendo wa maisha haunyooki.

namna pekee ya kutatua hali hiyo ni moja tu kuwa mvumilivu.
ukitaka kuwa mvumilivu mbinu ni hizi

1. kukubali changamoto.
hatua hii ni lazima ubaini tatizo katika maisha yako na kisha ujikubali kuwa unatatizo.

2. kutatua changamoto.
baada ya kubaini kuwa unatatizo unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo. utafakiniwa kutatua tatizo ulilonalo weweb mwenyewe au kwa kushirikisha watu sahihi na sio kila mtu tu.

3. kukubali kukosolewa.
ni kwei kuwa wakati mwingine mambo hayanyooki kwa sababu tu hukubali kukosolewa. ukojuwa kuwa umekosea ni vyema ukaomba msamaha kwa uliyemkosea. hii nayo ni mbinu sahihi kabisa katika kuwa mvumilivu.

sifa za mtu anayejithamini