Kuwajibika na kulinda rasilimali za familia


Mambo unayotakiwa kuyajua na kuyafanya
. Kutimiza wajibu wako katika famila yako.
. Kushiriki katika shughuli ndogondogo kwenye familia.
. Kujitolea katika mambo ya kijamii yako na inayozunguka.
. Kuthamini rasilimali za jamii inayokuzunguka.
. Kushirikiana kutekeleza majukumu ya taasisi za jumuia na nyumbani kwenu. 

Watu wengi tunakwepa sana majukumu aidha kwa kujua au kwa kutojua. Kama ingalikuwa tunafahamu majukumu hayo ni yetu na tukafanyia kazi mambo yangelikuwa ni rahisi siku zote.